Nifanye nini niache umalaya?


sasa kaka unataka kuacha kwa sababu gani? hao wamewekwa hapa duniani ili wagegedwe bwana...ndio burudani namba moja hapa duniani kaka. wewe wagegede tuu. maisha haya mafupi wewe enjoy.
 
Wanaume wengine bana.Hujiulizi kwanini mwanauwe aliumbwa awe anazalisha shahawa/mbegu za kiume kila siku.au unadhani hiyo dudu ulipewa yakufanyia maonyesho.kama sasa una nguvu zitumie maana iko siku hizo nguvu ulizonazo zitapungua alafu uje tena hapa kutuuliza ni dawa gani inatibu nguvu za kiume.Hakuna mwanaume malaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh we unawezaje tuoeni tips asee
 
Tafuta hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…