Natumai mko poa kabisa watu wa humu ndani...
Kama mnavyojua mimi ni mfanyabiashara wa nafaka za Jumla na mauzo yangu kwa siku ni kilo 700 hadi 1000 ndi wastani kwa siku... sasa hali ya maisha ishakuwa ngumu vitu nimepanda bei sana na kipato kinakuwa hakitoshi tena
Nahitaji mawazo yenu ili niweze kuuza kilo 1500 hadi 2000 kwa siku hii itasababisha maisha yawe ahueni... MAWAZO YENU NI MUHIMU SANA KWANGU.
SHUKRANI SANA!