Nifanye nini nipunguze sukari mwilini?

makua

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2013
Posts
208
Reaction score
39
Namepima kisukari nimeambiwa sukari iko juu japo bado haijaniathiri ila niwe makini.

Sasa sijajua nifanye nini ili nisiathirike?(sukari iwe normal). Naombeni msaada wenu wakuu.
 
kula chumvi kilo tano kwa siku
maji ya limao lita moja
Magadi robo kwa siku
tumia kwa mwezi mmoja
halafu ukienda kupima tena watakukuta na kichumvi
 
kula chumvi kilo tano kwa siku
maji ya limao lita moja
Magadi robo kwa siku
tumia kwa mwezi mmoja
halafu ukienda kupima tena watakukuta na kichumvi

duh!! we daktari kiboko yao hahahaha
 
Punguza vyakula vyenye sukari ikiwa pamoja na kuacha bia,soda,sukari yenyewe na hakikisha unapiga tizi la kukimbia kila siku na baada ya tizi kunywa maji ya uvuguvugu baada ya wiki kapime tena utuletee mrejesho.
 
fanya tuu mazoezi at least dk 20 kwa siku ,na punguza vyakula vya sukari kiaina
 
mkuu punguza kula vitu vyenye sukari mfano soda,pipi/big G,chai yenye sukari nyingi, etc pia fanya mazoezi sana..hiyo ndiyo dawa tosha mkuu...
kasaloo
 
Last edited by a moderator:
kula chumvi kilo tano kwa siku
maji ya limao lita moja
Magadi robo kwa siku
tumia kwa mwezi mmoja
halafu ukienda kupima tena watakukuta na kichumvi

Du.......
 
mkuu punguza kula vitu vyenye sukari mfano soda,pipi/big G,chai yenye sukari nyingi, etc pia fanya mazoezi sana..hiyo ndiyo dawa tosha mkuu...
kasaloo

Ahsante mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tizi ndio kila kitu.jijengee utaratibu wa mazoezi tu.
 
Punguza vyakula vyenye sukari ikiwa pamoja na kuacha bia,soda,sukari yenyewe na hakikisha unapiga tizi la kukimbia kila siku na baada ya tizi kunywa maji ya uvuguvugu baada ya wiki kapime tena utuletee mrejesho.

Thank yu
 
kula chumvi kilo tano kwa siku
maji ya limao lita moja
Magadi robo kwa siku
tumia kwa mwezi mmoja
halafu ukienda kupima tena watakukuta na kichumvi

busara iko wapi, jukwaa sensitive kama hili wewe unaleta upuuzi.. hasara sana kwa wazee wako
 
busara iko wapi, jukwaa sensitive kama hili wewe unaleta upuuzi.. hasara sana kwa wazee wako

Kakosa malezi mazuri dat way nika msamehe....
Msamehe tu mkuu
 
Epuka vyakula vilivyo kobolewa kama sembe,unga ngano mweupe na tumia dona, unga atta, brown bread na huo mlo wako zidisha mboga mboga za majani kuliko nafaka. Pia viazi vitamu husaidia kushusha sukari. Na mazoezi ni muhimu sana. Epuka ushauri wa mtaani kuhusu dawa za kushusha sukari au kuponesha.
 
nina dawa zinazoweka sukari level na hazina madhara yeyote. na pia zimethibitishwa na tfda. call me 0759077008 nikusaidie. Asante.
 
Nashukuru mkuu, nitazingatia
 
nina dawa zinazoweka sukari level na hazina madhara yeyote. na pia zimethibitishwa na tfda. call me 0759077008 nikusaidie. Asante.

Naamini hili tatizo lipo pia kwa watu wenguline so ingekua vema kama ungefunguka hapa ili iwe faida kwa wote wenye uhitaji...
Pia kuna watu wengine wanashida ila hawana usajili jf bt hupenda kuingia humu...
Please saidia jamii
 
Kama bado hujapata suluhu nione nikupe maelezo kwa msaada zaid
 
Kama bado hujapata suluhu nione nikupe maelezo kwa msaada zaid

Mkuu kama ukiweza hiyo suluhu ukaiweka hapa hadharani utakua umesaidia wengi maaana kuna watu wana matatizo kama haya wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…