Nifanye nini nisiote ndevu?

Nifanye nini nisiote ndevu?

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Habari wakuu

Mimi binafsi swala la ndevu naliona kama kero, nilikuwa nauliza ni namna gani mtu anaweza kufanya ili asiewe na ndevu .

Kuna muda ndevu zinanipotezea muda, zinaharibu mwonekano kabisa ,nataman kidevu kiwe cheupe ,ndevu ni kero tupu ...

Mwenye namna yeyote wakuu msaaada

1619604142100.png
 
Utaki ndevu mkuu🤔🤔
Habari wakuu

Mimi binafsi swala LA ndevu naliona kama kero ,nilikuwa nauliza ni namna gani mtu anaweza kufanya ili aisewe na ndevu .

Kuna muda ndevu zinanipotezea muda ,zinaharibu mwonekano kabisa ,nataman kidevu kiwe cheupe ,ndevu ni kero tupu ...

Mwenye namna yeyote wakuu msaaada
 
Habari wakuu

Mimi binafsi swala LA ndevu naliona kama kero ,nilikuwa nauliza ni namna gani mtu anaweza kufanya ili aisewe na ndevu .

Kuna muda ndevu zinanipotezea muda ,zinaharibu mwonekano kabisa ,nataman kidevu kiwe cheupe ,ndevu ni kero tupu ...

Mwenye namna yeyote wakuu msaaada
Yaani we upo km mimi nimeamua kuziacha tu kila nikiziondoa naota vipele balaa ata km ntatumia spirit au powder bado tu vipele vitanisumbua hua nataman kutumia hair removal lakini wanasema sio nzuri ila ndevu sizipend balaa, hua nawashangaa sana wanaozifuga aisee sijui wanazipendea nini
 
Back
Top Bottom