Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Kivip mkuu..Umetutoka
Sitaki kufika huko mimi ...Kuwa mwanamke
Japo wapo wanawake wengine wana mzuzu
Mkuu naomba njiaDuuh kweli tonafautiana sana.
KijinsiaKivip mkuu..
Habari wakuu
Mimi binafsi swala LA ndevu naliona kama kero ,nilikuwa nauliza ni namna gani mtu anaweza kufanya ili aisewe na ndevu .
Kuna muda ndevu zinanipotezea muda ,zinaharibu mwonekano kabisa ,nataman kidevu kiwe cheupe ,ndevu ni kero tupu ...
Mwenye namna yeyote wakuu msaaada
Madevu ya nin sasa mkuuUtaki ndevu mkuu[emoji848][emoji848]
Mkuu uanaume wangu utabaki pale pale ,kuwapelekea moto na kuwapa haki zao hawa wake zetuKijinsia
Unataka kidevu laini kama cha kajala?Madevu ya nin sasa mkuu
Ok, nafanyia kaziNyoa ndevu zako kwa kutumia magic, mara kwa mara.
Sura ya kiume lakini bila ndevuUnataka kodevu laini kama cha kajala?
Madevu ya nin sasa mkuu
Yaani we upo km mimi nimeamua kuziacha tu kila nikiziondoa naota vipele balaa ata km ntatumia spirit au powder bado tu vipele vitanisumbua hua nataman kutumia hair removal lakini wanasema sio nzuri ila ndevu sizipend balaa, hua nawashangaa sana wanaozifuga aisee sijui wanazipendea niniHabari wakuu