Habari wakuu
Mimi binafsi swala la ndevu naliona kama kero, nilikuwa nauliza ni namna gani mtu anaweza kufanya ili asiewe na ndevu .
Kuna muda ndevu zinanipotezea muda, zinaharibu mwonekano kabisa ,nataman kidevu kiwe cheupe ,ndevu ni kero tupu ...
Mwenye namna yeyote wakuu msaaada