Nifanye nini niweze kumsahau mpenzi wangu tuliyeachana?

Utoto ni rahaaaa!!!!
 
Muombe
Muombe msamaha,mpe mzigo apige taratibu..kisha ujiandae kubeba mimba ya pili and trust me atakuacha huyo
 
Halafu ujue nyie wanawake mnashindwa kuelewa kuwa HAMNA KITU KINGINE CHA KU-OFFER KWENYE MAHUSIANO TOFAUTI NA SEX AMBAYO NA YENYEWE MPAKA TUWABEMBELEZE..acha jamaa alee familia yake ambako anapata vyote
 
Corona, huenda badala ya kuvaa barakoa, alivaa limao usoni
 
Napata ukakasi na uwezo wa kufikiri wa huyu mleta mada.yani ajifungue mtoto na nyuzi juu halafu aanze kutafuta wanaume uko badoo sijui,,,ni wa ajabu sana aiseh
Chakori unapotea sana nisipo kuona mda wa siku 1 tu naumia sana sijui kwa nini aise.Nakutakia usiku mwema mungu akuepushe na mabaya yote.
 
Sassy gyal, mwanaume mtu mzima kabsaa nije kwako, Mara moja ya pili, unadhani nia yangu ni kuja kukushangaa wewe na mwanao? Nia ya kuja kwako ni mtanange, muelewe mwanaume vizuri hutapata shida! Umefanya uamuzi mapema Sana wa kumtafuta mwanaume wakati bado u mzazi. Ungevumilia Kama miezi sita halafu ungeanza harakati. Lkn umemtesa babu was watu buree!
 

Ili kumsahau huyo mzee points ni zile zile

1.Mpende na mtangulize zaidi mtoto wako kwa kila jambo
2.Anza kujiwekea akilini kwamba huyo mzee hakuwa wako tangu mwanzo(ambacho ni kweli hakuwa wako mana ana family yake)
3.Jiwekee uthamani ndani yako,jijali,jipende
4.Kuwa positive katika maamuzi ya kuamua kumove on
5.Sali sana
 
😅😅
 
Nafikri mzee alikuwa analea pia,so amekosa zile pesa na cares za kwenye simu ndo kinachomtesa
 
Aisee hujawajua vizuri wanaume wewe.

Huyo jamaa tena wa Badoo ni fisi anawinda hadi mizoga nia yake kuu ni akuchakate tu na punde baada ya kukuchakata atakupiga block moja matata hadi tumbo la uzazi litakucheza.

Halafu Mama wawili ukiendelea hivyo soon utajikuta unaongeza mtoto wa 3 na baba hata wa Tinder huko au wa Twitter.
 
Chakori unapotea sana nisipo kuona mda wa siku 1 tu naumia sana sijui kwa nini aise.Nakutakia usiku mwema mungu akuepushe na mabaya yote.
Nipo mkuu nimejaa tele.
Asante sana mkuu na wewe Mungu wetu wa huruma awe nawe wakati wote..Amen
 

Utaongea mpaka koo litakauka na huyu bado atabaki kutafuta a man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…