Nifanye nini niweze kumsahau mpenzi wangu tuliyeachana?

Watu wa jamii forum bwana mda mwingine mnasoma post juu juu tu mnacomment kwakuwa lazima kila Uzi muonekane mpo si ndiyo...!? Mi sio Malaya na wala sijawahi jiuza hata kama tunatumia Fake ID heshima iwepo pia ,Sawa jua linawaka Ila tusiliendekeze wengine mnasema ooh hata nyuzi sijui sijakauka natafuta mabwana kama ni hivo basi ningempa huyo mwanaume na kusingekua na Uzi hapa leo, yule mtu mi alinionesha mapenzi flan hv ambayo Kwa wakati niliopo nayahitaji sana tu ,alikua mfariji wangu na nimtu ambae nilikua huru kishare chochote ambacho napitia au nafeel Kwa wakati huo nilikua huru nimemis uwepo wake#introvert#jamiiforumwherewedaretospeaktheTruth
 
Mkuu
Kuna kitu unatuficha khs uyo baba wa mtoto.

Bila kuondoa hi sintofahamu watu watazd kukuona kituko humu.
 
Kwa staili hii Dada V.L.T wa Tanga ndio maana baba mtoto amekukimbia.

#YNWA
 
Tulia we dada Lea mtoto wako.
Baba ake mtoto Mr. A anaweza kukurudia

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…