Hebu namba yakoWatu wa jamii forum bwana mda mwingine mnasoma post juu juu tu mnacomment kwakuwa lazima kila Uzi muonekane mpo si ndiyo...!? Mi sio Malaya na wala sijawahi jiuza hata kama tunatumia Fake ID heshima iwepo pia ,Sawa jua linawaka Ila tusiliendekeze wengine mnasema ooh hata nyuzi sijui sijakauka natafuta mabwana kama ni hivo basi ningempa huyo mwanaume na kusingekua na Uzi hapa leo, yule mtu mi alinionesha mapenzi flan hv ambayo Kwa wakati niliopo nayahitaji sana tu ,alikua mfariji wangu na nimtu ambae nilikua huru kishare chochote ambacho napitia au nafeel Kwa wakati huo nilikua huru nimemis uwepo wake#introvert#jamiiforumwherewedaretospeaktheTruth
Tukisema wanawake mna maajabu mnakataa,,,, oneni Huyu alichokiandika Kwa kuzingatia ana mtoto ambaye hajamaliza hata mwezi.Wapendwa naombeni sijui ushauri au sijui niseme faraja mana hata sielewi mimi ni mdada umri 27 mwaka jana December nilifungua mtandao unaitwa Badoo huko ili nipate marafiki wa kuniliwa kama vile kuchat ikibidi kuonana sikuuchulia seriously Sana'a kwakuwa watu wengi niliobahatika kuchat nao wanaukizia ngono tu,na mimi nilikua nimetoka kujifungua kama siku 3 Ila Mungu ni mwema nilibahatika kupata mbaba mstaarabu amenizidi Umri (45) katika kuwasiliana nae nikaona ananifaa nikamwambia ukweli kwamba mimi nina Mtoto anasiku 8 na baby daddy wangu hatuko Sawa,akasema haina shida amenipenda na atanilea na mwanangu ,tulikua tunachat Kwa message badae akaniona video call,nilipokua naishi mbali na yy kidogo mana alinambia mda wa kutoka kazini kuja kuniona itamchukua mda sana kurejea kwake(anaishi na mwanamke aliniambia) basi ikabidi nijivute Hadi Kwa dadangu ambapo yeye ni rahisi na karibu kuniona nilikaa siku 2 nikamjulisha akaja akapafaham akawa anakuja kuniona kila siku,
Kuna siku nikamwambia naomba usiwe unakuja kila siku ili niwe nakumis angalau siku 2 au 3 akasema Sawa,baada ya siku kadhaa akaomba sex nika mwambia asubirie (nna mtoto mdogo na wakwanza nilipojifungua nilishonwa hivo nikawa na hofu na vitu vingi sana ikiwemo kumuharibu mtoto)
Nakumbuka ilikua tar 13 Feb alikuja tukaongea sana akaniambia hatutaweza onana kesho sababu ni valentine ntakua na family nikasema okey tulikaa sana nakumbuka
Asubuhi kesho yake mapema sana around 9;00nikamtumia message kuwa naomba nisubirie mtoto asogee kidogo ndipo tufanye sex kama hatoweza vumilia basi ,
Mwenzangu alinimind sana akaanza niambia mara nna hasira sana,mara naheshim maamuzi yako na akasisitiza tuwe marafiki wa kawaida huku tukisubiria mtoto akue kue ili tukapime tuweze kufanya sex ,Ila pia mbali na kusema hivo tubaki marafiki mwenzangu yeye hapigi wala kupokea simu,hajibu message kama mwanza ambapo alikua akipiga asbh,mchana na jion
Kilichonileta hapa ni kwamba Moto wangu ulimshiba sana yule mwanaume ,nimejikuta kumbe nilimpenda Hadi siwezi tena kumsahau kirahis najarib kumblock lakin nakaa siku 2 namuaunblock nampigia au kumtumia message lakini hola naombeni mniambie nimfanyaje nimsahau labda mana nipo katika hali ngumu upande wangu sana tu ,
No.Unamfahamu personally?
Sio kila single mother amekimbiwa punguza kukariri kama kuacha kabisa tabia hiyo imekushindaKwa staili hii Dada V.L.T wa Tanga ndio maana baba mtoto amekukimbia.
#YNWA
Asante dear,faraja mwanangu naweza kumuhudumia nashukuru hakosi mahitaji muhim"Mume wa mtu" na una mtoto mdogo duh.
Ungetulia kwanza japo mtoto akue aisee, unachokosa ni faraja ama pesa? Pole
Sasa dada mtoto hajakua tayari ushakimbilia kutafuta mwanaume.Sio kila single mother amekimbiwa punguza kukariri kama kuacha kabisa tabia hiyo imekushinda
Udada tu..haya kaka kuwaNikitaka uwe dada yangu nafanyaje?
Mtani naona unayataka majukumu weyeee. 😅Kwa hiyo na huku tukupatie huduma?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We nae ulikuwa na kiranga sana..yani umejifungua hata mwezi huna umeanza kutafuta wanaume!!!kha!au huyo mtoto ulimfyatua kama tofali la udongo mwenzetuuu..mwandiko wako unaonesha wewe ndie mwenye matatizo umeyaharibu mahusiano na baba watoto wako[emoji848]
Ila huu ujinga wakuambia unaweza lea bila mwanaume muache. Hamuwatendei haki watoto zenu.Duuh!! Nadhani ifikie hatua wanawake tujitambue kwamba bila mwanaume inawezekana kulea mtoto na akakua pia,kitu ambacho naona mleta uzi hukijui na wala hujawahi kukifikiria.
Nionavyo kama una ajira tulia ulee mwanao achana na habari za wanaume kwani si ajabu wakakupa mimba ingine na hapo ndo utachizika kabisaa.
Yani umewapata wa3 alafu unasema wametulia[emoji28][emoji28][emoji28]Acha hizo bwana mbona wanawake badoo wapo wastaarabu mie kule mbona nimewapata single maza watatu wote waetulia kabisa