Nifanye nini niweze kumsahau mpenzi wangu tuliyeachana?

Yani umewapata wa3 alafu unasema wametulia[emoji28][emoji28][emoji28]

Kwamba wewe kama wamekukubalia hawawezi kuwakubalia wengine??
Unajua maana ya kutulia wewe?
Kutulia sio kwamba hawasasambuliwi mbususu na wengine bali ni kwamba wao hawataki stress za kijinga za kunatana. Sie tunaenjoy life tuu na kila mtu yupo huru kuonja tamuuu zingine.
 
Unajua maana ya kutulia wewe?
Kutulia sio kwamba hawasasambuliwi mbususu na wengine bali ni kwamba wao hawataki stress za kijinga za kunatana. Sie tunaenjoy life tuu na kila mtu yupo huru kuonja tamuuu zingine.
Sawa, nyote inaonekana mmetulia.
 
Ila huu ujinga wakuambia unaweza lea bila mwanaume muache. Hamuwatendei haki watoto zenu.

Kwa nini wanawake msiambiane kwamba jamani tuache kisasambuliwa mbususu kabla ya ndoa ili mzae mkiwa mmeshaolewa?
Wanawake wangapi umewasasambua Kwa Ndoa ...!?kiazi wewe [emoji16]
 

Ushauri wenye digree kabisa huu! Asipoelewa hapa basi tena.
 
Pole sana Mkuu...

Tulia mtoto afike walau mwaka ndipo uwaze kusaka mtu sahihi kwako..

Kama kuna namna ya kufanya suluhu na baba wa mwanao, basi fanyeni . Ni vizuri mtoto kupata malezi ya baba na mama
 
Aiseee wewe dada unaumwa nini? Hivi ukiwa na mme wa mtu unategemea nini tofauti na sex?

Siku tatu umejifungua tu ushawaza kutafuta wa kuchat nae? Hapana hata kama una stress umezidi.
Achana na mme wa mtu ukitulia waweza pata mwanaume wa kukuoa.
 
Wakati wa Mimba ulikua unamsumbua huyo baba mtoto wako akawa anakutafutia udongo hadi usiku wa manane, umejifungua siku 3 tu ushaanza kutafuta wanaume kwenye mitandao eti ulianza kumpenda, (hehehe halo ya kupenda),

Wewe ndie unatangaza kuuzia watu bidhaa kutoka India, nani atakutumia pesa yake mwanamke mwenye tamaa na usiye na huruma kwa mwili wako hadi kwa mtoto wako,
Ptuuuu!
 
shetani gani kakuingilia, single mother wataongezeka tu kila kukicha bila hata sababu, kwahiyo unataka uvunje ndoa ya huyo mwanaume kisa vijisent anavyokupatia pia unataka usex naye ili umbemende huyo mtoto,
wanawake wa siku hizi hovyo kabisa
 
Heee kumbe badoo kuna mademu wanapenda na kukumiss aise mi nilikua ni kw vivuluge tu kumbe ni tofauti kabisa!!
 
Cha kufanya mfanye fanye
 
Napata ukakasi na uwezo wa kufikiri wa huyu mleta mada.yani ajifungue mtoto na nyuzi juu halafu aanze kutafuta wanaume uko badoo sijui,,,ni wa ajabu sana aiseh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilifikiri Dadii wangu kapata baby..... [emoji28][emoji28][emoji28]
Pheeeeewww....[emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…