imekaa vizuri Sana hii.Punguza kuhonga, nimeacha hiyo kitu now nasevu hela nyingi balaa mpaka najishangaaa. Now nitampa hela ambaye atakuwa mke wangu,nimejiwekea principle ni mwiko kumpa mchumba hela.
Bora aweke kwenye simu, vibubu ni rahisi kuibiwa kama mtu atakifumania. Mchumba simpi hela kama nitatoa mwisho hamsini sizidishi kama hataki aende tu.Uchumba ni kama mahindi mzee,kama hupalili ,huweki mbolea unategemea utavuna mahindi bora?
Afanye kitu simple old fashion,achonge kibubu siku izi vipo vya chuma mdogo mdogo atafika,mambo ya bank kwa wenye vijisenti pesa yote inaishia kwenye makato.
Na watu wengi tunaogopa kutoka kwenye comfort zone ili tuendelee kuwaneemesha wengine, It's non senseUshauri wangu ndio huo View attachment 1030654View attachment 1030656
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo tumejifunza kupata kibali cha Mungu
Kwenye simu ni ngumu kufikia malengo maana simu hiyohiyo upo nayo kila sehemu na ni rahisi kutoa na kutumia.kibubu cha chuma ni rahisi inabidi awe na siri tuu.Punguza ugumu utakosa vitu vizuri,watoto wazuri utakuwa unawaita shemeji tuu.Bora aweke kwenye simu, vibubu ni rahisi kuibiwa kama mtu atakifumania. Mchumba simpi hela kama nitatoa mwisho hamsini sizidishi kama hataki aende tu.
nimemshauri ajiunge vikoba najua vitamtoa, hawa watoto pasua kichwa sana mtu unampa kila kitu halafu anachepuka wa kazi gani huyoKwenye simu ni ngumu kufikia malengo maana simu hiyohiyo upo nayo kila sehemu na ni rahisi kutoa na kutumia.kibubu cha chuma ni rahisi inabidi awe na siri tuu.Punguza ugumu utakosa vitu vizuri,watoto wazuri utakuwa unawaita shemeji tuu.
Sawa mtoa mada ana option nyingi ni yeye kuzifanyia kazi tuu.hahaa tatizo liko wapi kama unahonga na unapewa unavyotaka,ukitaka wa peke tako weka ndani.nimemshauri ajiunge vikoba najua vitamtoa, hawa watoto pasua kichwa sana mtu unampa kila kitu halafu anachepuka wa kazi gani huyo
Hahahaha ndo natafuta niweke ndaniSawa mtoa mada ana option nyingi ni yeye kuzifanyia kazi tuu.hahaa tatizo liko wapi kama unahonga na unapewa unavyotaka,ukitaka wa peke tako weka ndani.
Kama vipi visivyokuwa na akiba kwako?Usipende kununua vitu visivyo na faida kwako