sixlove
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 563
- 393
Habari wadau, poleni na majukumu ya siku nzima. Naomba kujuzwa juu ya hizi nywele za kipilipili. Je zinakuwa za kurithi(zipo katika genes zetu)? au lah.
nimeuliza hivyo kwa sababu binti yangu (2 years old) uotaji wake nywele za kichwani, haupo sawa. Katika eneo la juu ya kichwa zinaota na kukua vizuri, ila pembeni ya kichwa (kulia na kushoto) zinajisokota. Naomba msaada please, tatizo ni nini na nini nifanye ili nywele zake ziwe sawa.
Asante