Habari ndugu naomba kufahamu jibu la hili swali ambalo nimekuwa ninajiuliza siku nyingi sana.
Mfano nimesimamishwa barabarani au kutembelewa gafla nyumbani na maafisa ukaguzi na wakatuhumu kwamba labda nimebeba bidhaa haramu,wakaamua kupekua gari/nyumba sasa katika kupekua baadhi ya vitu vikawa misplaced au kuvunjika au kupotea na katika kupekua hawakukuta kitu wanachokitafuta,
Baada ya hapo ni nani atalipa gharama za uharibifu ama upotevu wa mali zangu wakati wa upekuzi,sheria inasemaje?