Ndugu zangu,mimi ni mwanafuzi chuo cha mifugo,diploma in animal production.!Ninalikizo ya miezi mitatu nyumbani.!Nisaidie kama mdogo wenu nifanye nini mda wote huu wa likizo.?Nimetafuta tempo mpaka nimechoka.?Nisaidieni ndugu zanguni...!
umetembelea halmashahuri na ofisi za kata wamekunyima tempo?
kama huko DAR nenda vertenary tazara pale au Temeke huone wana kusaidia vipi!
unaishi mitaa gani?