MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
Kaka napata tabu sanaMasta mbona unatuangusha sasa si tushasema KATAA NDOA mbona upo mguu ndani mguu nje tena
Rijal kamil SEMA napimepigwa tukio hukuJifunze kujipenda ww , na kujitanguliza ww kwnza kwenye kila kitu , hutakaa kuwachukia wanawake tena , hakikisha pia unapo honga , pesa au mali kwa mwanamke uwe hauna nyege kabsa, uache kichwa cha juu kifanye kazi yake vizuri.