Nifanye nn na hili wapendwa?

unamuwaza kwa sababu bado hujapata mbadala. atakapotokea utamsahau wa kwanza. asipotokea utaendelea kumuwaza kwa muda mrefu zaidi ila ataanza kufifia na kupotea. ila usipopata mwingine hatopotea kabisa. atakuwa anarudi mara moja moja huko mbeleni. ila time is a better healer kwa situation uliyomo. na kama huitaji kurudiana nae, give time its time; time itakusaidia.
 
Kumuwaza mpenzi wako aliyepita inategemea mliachana kwa mazingira gani na pia muda gani umepita. Moja la mahitaji muhimu ya binadamu ni kupendwa...Kuna mtu amesema hapo juu..ukipata mbadala utasahau..ni kweli lakini kumbuka kuna kidonda utakaa nacho muda mrefu nacho ni kila mgeni atayekuja utakuwa unamlinganisha na Ex- Mpenzi..tumia busara na punguza vigezo..

Pia jaribu kukubali yaliyopita..kwani kama moyo wako unakuambia hakuna mwingine kama huyo ..kuna uwezekano si kweli..Na pia kumbuka First decision is always right (kama umefanya kwa usahihi).. Never change that decision..
 
Me mwenyewe niko single...teh!teh!teh
 

The thing here, u didnt say how long have u been in relation, what was the cause of break, and who cause break? tell me and will let u know what to do.
 

watch SOY TU DUENA- you will know the true meaning of Love. kwanini mliachana? hamkua serious na penzi lenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…