Nifanyeje ili kupunguza hasira?

Sijajua una manisha hasara kwa upande upi ujumbe wakao umekuwa mfupi mno mkuu. kwenye biashara yako au? kama ni kwenye biashara yako funguka kidogo ili tupate mwanga wa kukupa usharui. Kama ni kwa kila jambo ufanyalo linakwama njia pekee ni kwenda kwenye maombezi na ku-muamini Mungu atakusaidia.
 

usingizi au viroba? nani anazungumzia hasara hapa?
 
Fanya mazoezi....sikiliza miziki ambayo hujaizoea.
Maisha yatasonga tu.
 
Huna hela ndio maana unakuwa na masimba mda wote,tafuta hela kwa nguvu zote ukipata utakuwa unafanya mambo unayopenda hivyo utapata pc of mind.
 

Usiulize maswali mengi, utampandisha hasira huyo aisee.
 
Usiulize maswali mengi, utampandisha hasira huyo aisee.

muda wako wa mapumziko pendelea kukaa sehem zenye utani mwingi, kama kwenye bao n.k. jifunze ucheshi na utani,huku moyoni ukiahidi hata utaniwe vipi hutakasirika!
 
Mkuu, ukiona Una hasira Sana hesabu 1-10,sikiliza muziki,kaa pekeyako kwa muda na ikibidi uwe unafanya mazoezi kila siku
 
muda wako wa mapumziko pendelea kukaa sehem zenye utani mwingi, kama kwenye bao n.k. jifunze ucheshi na utani,huku moyoni ukiahidi hata utaniwe vipi hutakasirika!

'JF IS A STRESS FREE ZONE'me huwa nacheka sana nikiwa hapa
 
Hasira ikikupanda unatakiwa kukimbilia chooni na ukate gogo la hajja hata kama halijakubana jaribu hiyo na usisahau kuleta mrejesho
 
jaribu kufikir huyo unaemletea ubabe anajisikiaj ukimpandishia kama binadam mwenzio imagine ungekuwa wewe ungejisikiaje cool down and relax
 
Labda una muda mrefu hujafanya mapenzi huenda ikawa ndo chanzo cha hasira zako,yawezekana umeathirika kisaikolojia.
 
MPE Yesu maisha yako. Bonda kitimoto ya kuoka hasira zitaisha fasta. Hasira ni mapepo na mapepo ni hasara tupu
 
Chanzo cha hasira nyingi n chakula hasa nyama, ukiacha kula nyama hasa nyekundu, na ukala mboga nyingi na juice fresh, miezi 3 mingi utakuwa mtu wa kawaida na utashangaa..

Hata ivo unapaswa kufanya pia mazoezi nakujifunza kuwa na furaha muda wote, leta mrejesho baada ya ushauri
 
wanajf naomba mesaada wenu. Ninatatizo la kuwa na hasira kupita kiasi hata kwa jambo dogo tu!

ukishikwa na hasira reaction yako huwaje? unagombeza watu? unatukana? unapiga watu? unakaa kimya na kujitenga na watu? unavunja vitu? unakunywa au kuvuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…