Fuata masharti ya Dr... kula vizuri, kutumia vitamins unazotakiwa kuzitumia kwa ujauzito, hakikisha unapata mapumziko ya kutosha na epukana na kununanuna/kukasirika hili linaweza kuongeza blood pressure yako na hivyo kuathiri ujauzito wako. Hongera na kila la heri katika ujauzito wako.
Mungu Atakulindia mimb yako ujifungue salama.
Je doctors walikupa sababu ya kutoka?
Habari zenu wana jamiiforums.
Kwanza kabisa ningependa kuwashukuru nyote kwa msaada wenu, mimi nina miaka miwili katika ndoa yangu sikupata mtoto lakini nilijaribu kusoma ushauri wenu tofauti tofauti kuhusu jinsi ya kupata mimba, nashukuru nikafanikiwa kupata ujauzito mwaka huu mwezi wa kwanza, lakini haikua riziki yangu ikatoka mwezi 1.
Lakini kwa sasa nina ujauzito tena wa mwezi 1 naomba ushauri wenu je nifanyeje ili yasitokee tena kama ya mwanzo?
Asanteni
Yap naungana na Abunuasi nenda hospital wakupe vidonge vya kurutubisha placent zygot akue vizuri.
Nenda hospt ya kariuki utapewa vidonge vya kuimarisha ukuta wa uzazi baada ya kupigwa utra sound.wahi hata leo nenda.itakuwa ulichomaga sindano wewe na kama ulichoma ni pm nikupe ushauri wa bure.
Yap naungana na Abunuasi nenda hospital wakupe vidonge vya kurutubisha placent zygot akue vizuri.
Mmmmmmhhhhhh
Mkuu mimi sina roho ya fisi kama wewe.migegedo ninayo kibao ila ningempa ushauri wa kweli.
Abunuasi eeeh?
Hajawahi kuongea pointi hata siku moja!
Ndie, sieee?
Nenda hospt ya kariuki utapewa vidonge vya kuimarisha ukuta wa uzazi baada ya kupigwa utra sound.wahi hata leo nenda.itakuwa ulichomaga sindano wewe na kama ulichoma ni pm nikupe ushauri wa bure.