Nifanyeje ili nifanikiwe kimaisha

Nifanyeje ili nifanikiwe kimaisha

Hau tumiya hio njia uriyotumiya kupata godolo upate na mahisha mazuli
 
awali ya yote shukuru MUNGU kwakukupa akili ya kujitambua kuwa upo sehemu ambayo si sahihi na huipendi, fanya kazi yakujitathimini ni wapi unakosea na ni kwanini unakosea katika hilo? baada ya hayo unainuka na kukwepa yote yakuzuiayo na kwenda njia ile ifaayo wewe kutoka ila kikubwa ni kumtanguliza Mungu wako mbele
 
Back
Top Bottom