Nifanyeje ili nifanikiwe kimaisha

Before you think of giving up in life, just take a look at the hairs around your anus. Despite their environment, they still Grow.
Yaan hapa nilipokaa ninazi feel halafu zinaota haraka mnoo.... lol
OMG! Usiniambia huwa unanyoaga [emoji23][emoji23]🀣
Teh teh, razor lazima ipite zikibaki joto
Hahahaha bora nisiendelee kuuliza tu
M still curious tho...hw do u do it?[emoji23][emoji23][emoji23]

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilitaka kushangaa mkuu usiendelww kuuliza
 
Insta babe nitakuwa nimeingia moyoni mwako via Bluetooth jamani
bluetooth nilizima ila wifi ilikuwa ON itakuwa uliingia kwa wifi

jamaa inabidi apambane tu maisha ukiyakatia tamaa nayo yanakukatia tamaa
 
bluetooth nilizima ila wifi ilikuwa ON itakuwa uliingia kwa wifi

jamaa inabidi apambane tu maisha ukiyakatia tamaa nayo yanakukatia tamaa
Hahhaha itakuwa insta babe niliingia kwa wifi, nakiona kakitambi kaleee halafu ebu fanya kuonyesha mpaka juu basi

Huyo jamaa ana thread yake moja anataka kudanga kwa wanawake kiufupi huyo kashajikatia tamaa akabebe hata zege jamani
 
hahahah insta babe siku ukigeuka na mm naonyesha hadi juu πŸ˜‚πŸ˜‚

kwenye ile thread ya kudanga nilimuonya kuwa anaweza kupata mwanaume badala ya mwanamke

sasa awe makini
 
hahahah insta babe siku ukigeuka na mm naonyesha hadi juu [emoji23][emoji23]

kwenye ile thread ya kudanga nilimuonya kuwa anaweza kupata mwanaume badala ya mwanamke

sasa awe makini
Hahhahaa mm kinachonifanya nisigeuke insta babe hii sura ya baba angu nitakimbiza watu inavyotisha jamani we nionyeshe tu
 
Hahhahaa mm kinachonifanya nisigeuke insta babe hii sura ya baba angu nitakimbiza watu inavyotisha jamani we nionyeshe tu
hahahah... insta babe umeanza uongo wako sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ akati binti mashalah
 
hahahah... insta babe umeanza uongo wako sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akati binti mashalah
Hivi insta babe ningekuwa binti mashalah si ningewageuzia sura nani anataka kujificha uku ana sura nzuri jamani sura za baba hizi mtakimbia nikigeuka nikikuquote hautanijibu acha nijifiche hivihivi
 
Hivi insta babe ningekuwa binti mashalah si ningewageuzia sura nani anataka kujificha uku ana sura nzuri jamani sura za baba hizi mtakimbia nikigeuka nikikuquote hautanijibu acha nijifiche hivihivi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila wafichie huku jf wasikuone insta babe me naendelea kukuona kule instagram πŸ˜‚πŸ˜‚
 
yes ithink thats a best advice you gave me guess am ready for that
 
fanya kile ambacho moyo wako hukuaminisha kufanikiwa
usifanye mambo kwa kucopy et fulani alifanya hivi akafanikiwa.......jua kila mmoja ana njia yake ambayo Mungu kamwandalia mafanikio
ila kwa ushauri narudia tena fanya kile ambacho moyo wako hupenda utafanikiwa
 
kuwa na malengo

weka nia katika hayo malengo yako

wekeza /tia juhudi katika hayo malengo

pambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…