Salaam wana JF. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Mzazi wangu naye ni mwajiriwa lakini sasa ni mgonjwa sana, anaishi mbali na mimi (mkoa mwingine). Naomba kujuzwa taratibu za kufanya ili niweze kuhamia aliko ili nimuuguze maana nimechoka kila mara kuomba ruhusa kwenda kumuuguza. Nawasilisha kwenu waungwana.