Nifanyeje ili nipate cheti cha form 6?

kigogo1ivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
539
Reaction score
340
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Mimi ni mutimu wa kidato cha sita, mwaka 2009.

Lakini mpaka leo sijapata chet changu kila ninapofatilia shuleni sipewi majibu ya kuridhisha naomba mwongozo wenu wapendwa naimani mtanisaidia.

Ahsanteni
 
Cheti kipo kwa academic Ticha wako
Nenda Kakomae akupe Kama anataka Pesa itabidi umpe
 
Nenda kakomae na mkuu wako otherwise wakupe chet au uende polis ukawashtak coz ni mali yako
 
Hairuhusiwi kuuziwa cheti chako mwenyewe,malipo yatafanyika tu endapo utakuwa na deni uliloacha,
nenda shuleni kwa academic master mwambie umefata cheti chako, akikataa hoji sababu za msingi ikishindikana chukua hatua za kisheria.
Cheti kipo kwa academic Ticha wako
Nenda Kakomae akupe Kama anataka Pesa itabidi umpe
 
Ahasanteni kwa ushauri na kunipa nguvu,
 
Mimi nakushauri nenda shuleni, akikusumbua Mwambie akuandikie Barua uende kw Afisa Elimu Wilaya Secondary.

Mpaka hapo ukiona utashindwa na utakuwa na stand (yani kama wewe ni mwoga mwoga) kama upo Dar Es Salaam nenda pale BaMAGA dsm Wakuandikie Conpelling Order ya Kumlazimisha Mkuu wa Shule na Uongozi wa shule ukupe cheti Vinginevyo hatua kalia za kisheria NECTA watazichukua.

Nawaami NECTA kuna watu waelewa pale hutaangushwa.
 
Kuna dogo alikuwa Udom ana tatizo kama lako. Uzuri tulikuwa tunafahamiana na moja ya mtu Necta, alishauri aiandikie barua necta kwamba cheti chake hajapata na aonyeshe complains kuanzia shule, na afisa elimu.

Ila mwishoni ilikuja kujulikana shule nyingi za Wazazi zinazoendeshwa na CCM zina tabia ya kuuza vyeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…