Nimemaliza A-LEVEL 2009 PCM,napenda kusoma biolojia ili nitimize ndoto yangu ya kua daktari,kwa vile nilifaulu vizuri chemistry,physics na adv mathematics.Naombeni msaada nifanyeje ili niweze kusoma biolojia ya Alevel kama soma moja ili niweze kukamilisha PCB.
Mwakani namalizi B.in Electrical engineering.
NAOMBA KUWASILISHA
kwa ninavyoelewa mimi huwezi kupata cheti cha A-Level kwa kusoma somo moja. jambo la kufanya inakubidi usome PCB tu ndugu yangu anyway siuji sana kama wanakubali kumchagua mtu kusomea degree ya udaktari aliesomea PCM.
kcmc wanaruhusu mkuu...
kcmc wanaruhusu mkuu...
kcmc wanaruhusu mkuu...
pole sana..hata mimi nshapitia huko..sikua na jinsi,ila ilinilazim kusoma EGM,na hivi navyoongea ni kwamba nangojea tcu selections!! umekumbusha mbal sana..ila mwombe mungu kwani yeye ndiye mpanga wa yote..[/QUOTE
LORDVILLE, LORDVILLE, LORDVILLE. Wewe si ulisema umepiga PCM? Heh haya bwana. May be utakua umesahau.
safi sana!! nafurahi kuona unanikumbuka vizuri!! i admit that i told u so...halina ubishi na siwezi pinga!! ila the thing is sometime ni bora kutenda kosa(moja) ili kuepusha makosa(zaid ya moja),katika ile mada yetu(nadhan unaikumbuka) ningesema nlisoma egm nadhan usingenielewa hasa nlivokua nakuelewesha! nliamua tumia hiyo njia uweze nielewa(naiman ulinielewa) mana kama sio hivyo ungeendelea leta maafa kwa wengine bila kujua..dont get me wrong that is what i meant..ila am ready,to be blamed and judged wrong...nawakilisha mkuu!pole sana..hata mimi nshapitia huko..sikua na jinsi,ila ilinilazim kusoma EGM,na hivi navyoongea ni kwamba nangojea tcu selections!! umekumbusha mbal sana..ila mwombe mungu kwani yeye ndiye mpanga wa yote..[/QUOTE
LORDVILLE, LORDVILLE, LORDVILLE. Wewe si ulisema umepiga PCM? Heh haya bwana. May be utakua umesahau.
safi sana!! nafurahi kuona unanikumbuka vizuri!! i admit that i told u so...halina ubishi na siwezi pinga!! ila the thing is sometime ni bora kutenda kosa(moja) ili kuepusha makosa(zaid ya moja),katika ile mada yetu(nadhan unaikumbuka) ningesema nlisoma egm nadhan usingenielewa hasa nlivokua nakuelewesha! nliamua tumia hiyo njia uweze nielewa(naiman ulinielewa) mana kama sio hivyo ungeendelea leta maafa kwa wengine bila kujua..dont get me wrong that is what i meant..ila am ready,to be blamed and judged wrong...nawakilisha mkuu!
Me sina neno mtu wangu.
kwani ilikuaje ukasoma pcm kama ndoto zako ilikua pcb?
kwa ninavyoelewa mimi huwezi kupata cheti cha A-Level kwa kusoma somo moja. jambo la kufanya inakubidi usome PCB tu ndugu yangu anyway siuji sana kama wanakubali kumchagua mtu kusomea degree ya udaktari aliesomea PCM.
Sasa si nitakua na matokeo mbili ya P & C? na je NECTA wanakubali ilo?
Mkuu we ni Mtanzania?? maana ulicho uliza duuu!! sasa mitihani ya secondary inasimamiwa na nani, au we ni Mkenya??
Ujaelewa nini kaka,namanisha matokeo mawili ya physics na chemistry,japokua wakati nimefaulu p & c kwenye pcm,iwapo nitasoma PCB upya kama new combination
maliza hiyodegree yako kwanza kisha jiandikishe kufanya diploma ya udaktari kwa kutumia form 4 certificates ama soma a level kama PC.
This one will work manake o-level una pcb.
Ila uko determined aisee. We are talking 8 years of schooling! Jaribu pia kuangalia vyuo vya nje vinatakaje. Urusi kuna vyuo vingi, wizara ya afya wana contacts zao.
Alternative route, hiyo engineering yako ukimaliza jiingize kwenye mambo ya Occupational Health and Safety. Huko utakutana na interesting courses zinazohusisha usalama na afya za binadamu na jinsi kazi yako inavyoweza kulinda afya ya kila mmoja. Ni-PM kama utahitaji further clarification about this.