Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,591
- 6,114
Nimepata mchumba, kwa kweli ananipenda sana na hanisumbui hata kidogo.
Malalamiko yake ni kuwa siko nadhifu.
Nimejaribu kununua nguo mpya, boxer, soksi, viatu na mikanda.
Nanyoa ndevu na nywele mara kwa mara.
Nina deodorant na body spray pia perfumes, lakini bado hajaridhika na kiwango changu cha utanashati.
Nifanyeje jamani?