Yeah,nakubaliana na wewe kabisa nakumbuka nilivyoanza kulazimishwa kufunga tai,ilihali hata shuleni tu walimu walichemka,lakini kwa nguvu ya mwanamke niliweza na nikazoea ili tu afurahi,,wanawake shikamooYeye alitakiwa akufahamu kwanza size za nguo, viatu, afu ajiongeze kwa kimoja kimoja dukani anakuletea, kesho anakuja iki, keshokutwa kile, sema labda kama humpi mkwanja.....ingekuwa ni mm pesa unayonipa iyo iyo ndo ingekubadilisha uonekane vile nataka......kama huna ela na yeye bado ni mtoto basi ataishi kubadilisha wanaume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Isije kuwa unanunua mitumba oversize mguu wa suruali mtu anaeza vaa kama skirt unasema nguo mpya