Nifanyeje ili niwe nadhifu?

Mchumba wako anataka uonekane kama crush wake ndo tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kwa changamoto mkuu.
Kiufupi vijana weng i wenye mawazo kama yako huwa wanakwama sana linapo kuja swala la unadhifu. Kuwa na nguo mpya haimaanishi basi utaonekana nadhifu, na pengie inaweza ikawa kinyume chake na ukaonekana mshamba. Na hata matumizi ya marashi na unyunyuwi vinaweza badilika na ukajikuta unatoa harufu kmbaya.

FANYA HAYA ILI UONEKANE NADHIFU:
1. Hakikisha unanunua nguo zinazo kutosha na kukukaa vizuri ukizingatia body structure ya mwili wako.
2. Zingatia rangi za nguo na viatu unavyo nunua kwa kuangalia rangi ya ngozi yako.
3. Zingatia aina ya kunyoa kwa kuangalia umbo la kichwa chako.
4. Hakikisha unatembea na kuongea viendane na jinsi ulivyo vaa.
5. Viatu na mkanda ni vitu vya muhimu sana kuzingatia ili kunogesha unadhifu wako.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna miili naturally haipendezi, Kama wa Kangi Lugola, John Komba etc
 
Heci,
Isije kuwa unanunua mitumba oversize mguu wa suruali mtu anaeza vaa kama skirt unasema nguo mpya
Sweet koma bwana kunichekesha mm jaman dah..nimecheka..hizo suruali zipo hukj..za kitambaaa paaaanaaaa🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…