ndeankar
Member
- Feb 8, 2016
- 57
- 47
Wakuu kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, ni kwa muda mrefu sasa huyu jamaaa amekua akiniongoza kwenye mambo tofauti tofauti kutokana na kua na ideas kama za kwangu tofauti tuu yeye anamkono wa mafanikio sanaaaa.
Ukweli mkuu popote ulipo (Ontario) ujue ninahaja ya kuzungumza na wew naamini kipo kitu cha tofauti nitajifunza kutoka kwako nikueleze jinsi nilivyopambana kulima, kufuga, kupiga forex bila kufanikiwa naamini wew utakua na mbinu mmbadala wa haya yote.
Huyu jamaaa Kani influence vitu vingi hapa Jf since 2015 kwa mapambano yake dhidi ya umaskini na ukosefu wa ajira kwa vijana hapa nchini. Ukweli mm nakukubaligi Bure tuu coz wew.
Ni mpambanaji mmoja hatari sana na una moyo wa thati kabisa wa kuwashirikisha wadau fursa unazokutana nazo. Kipekee Nakushukuru na nikutie moyo una safari ndefu ya mafanikio katika maisha yako