Nifanyeje ili niweze kuonana na mkuu ONTARIO

Jipinde mkuu tena weka Nia baada ya muda flani na wew utafutwe
poa mkuu nitaanza na Mimi kupost picha nikiwa kwenye ndege..... na wazungu.

hotel na mikutanoni.

usiwaze.
simple tu.
 
poa mkuu nitaanza na Mimi kupost picha nikiwa kwenye ndege..... na wazungu.

hotel na mikutanoni.

usiwaze.
simple tu.
Ukijipost huku mkuu unakosea anzisha page insta itapendeza tena naskia mange kafuta page yake unaonaje ukimreplace
 
Reactions: T11
Ukijipost huku mkuu unakosea anzisha page insta itapendeza tena naskia mange kafuta page yake unaonaje ukimreplace
ntajitahid kila forum nitakuwepo bro.... la msingi ni kumfanya boya unayeamini kwa picha.

ukidhi imani yako.

nitakuwepo kipa media... bro.
 
Ukijipost huku mkuu unakosea anzisha page insta itapendeza tena naskia mange kafuta page yake unaonaje ukimreplace
Mbona una nyodo hivyo???
wewe unaweza kusaidika kweli?? maana si kwa ujuaji huu.... lol

(don mind me)
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
Duh, kiraka juu ya kiraka
 
Ontario yupo mitaa hii hapa...karbu umuone 😁😁😁😁😁😁...remember Jangid PlazaπŸ˜‚
 
Dogo vipi ulishafanikiwa kuonana na boss Ontario?
Hapo jangid mnaendeleaje na hali katika ku download dolale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…