Nifanyeje ili niweze kupata pesa ya kuanzishia biashara?

Asante umenifungua akili kidogo. Kuna watu ni wajasiriamali lakini elimu ya kupat huo mtaji ndo issue, tunahitaji elimu kama hii uliyonipa na zaidi. Asante ubaririkiwe!
Sawa mkuu demi jaribu kupambana kwa hali na mali natumia akili yako yote na nguvu zako utapata matamanio yako.Usife moyo kwa kukatishwa tamaa na watu,kipindi u naanza wapo watakao kuona unatania au unacheza lakini Mungu siku zote hamtupi mpambanaji.

Hata kama unakidogo kikuze hichohicho nakukiwekea malengo.Pia kama unahisi kuwa peke yako huwezi tafuta mtu mfungue biashara hata ndogo then muweke malengo ya pamoja(ingawa kushirikiana na mtu napo kuna athari zake).
 
Asante mkuu. Naahidi kuufanyia kazi ushauri wako.
 
Nitafute PM nikupe fursa
 

Mafanikio yana nyanja nyingi...!! Hata aliyetaka kufanikiwa kupata mke mwema akampata, kafanikiwa pia...!!
Wasomi bhana, unaulizwa jina lako nani unaanza oohh natokea misungwi, nimesoma udsm, nk nk nk
 

Na huu ndo USHAURI MAKINI.na unahitajika moyo na uthubutu kweli kweli

Tatizo watu wanashindwa kujua kwamba ni lazima uanze na stage ya kwanza ni KUANZIA HAPO ULIPO.Hapa duniani kila mtu anandoto ya kufanikiwa tatizo ndo hili la UTHUBUTU HASWAA. Jamaa ilibidi aanze kuikuza hiyo laki na 50 adi hiyo anayohitaji ndo atakua na UCHUNGU wa hela.Sasa ukipata hela kwa njia rahisi hata kuzipoteza hutajali kiviile.Huu ndo ushauri

big up
 
Kwa mimi nakushauri upitie orodha ya marafiki zako wote walipo katika simu yako sijui unao wangap, kidogo na ndugu mnao patana.

Kila mmoja muombe buku tu la vocha akikisha hasipo kupa Leo akupe kesho la sivyo mfute kabisa katika contact zako siyo rafiki mzur huyo.

Tunza kila buku au jero utakayo pewa for a month utakuwa tayar umepata mtaji.

Ila kama utataka Wa kuanzia milioni kwa usawa huu Wa magu , ndugu nisiwe muongo utaridhiswa tu kwa maneno.

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Ziko shughuli za kufanya ukapata hela nzuri tu. Jaribu kuuza taarifa yaani kuwa mtu wa kati kufanikisha biashara za watu. Mfano wapo watu aanachimba gemstone lkn soko la gemstone si imara kama la dhahabu so ukimtafutia mtu soko atakulipa kamisheni utafanya mambo yako. Kadhalika wazo la kuuza taarifa unaweza kulifanyia kwenye bidhaa yeyote hata mahindi

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
 
Urijaribu kuuza kiwanja unashindwa anyway labda hakipo mjini
 
Urijaribu kuuza kiwanja unashindwa anyway labda hakipo mjini
Kipo mjini kabisa tena Huduma zote zipo maji,umeme na rami mpaka mita 30. Sijajua ni ugum wa maisha tu au
 
Umeongea point sana, lakini jiandae kupingwa na kua crashed na ukweli ulio ongea
 
Usiogope watu ku-copy, TZ ina watu zaidi ya Milion 40. Wote hawa ni wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…