Nifanyeje ili pm zangu ziwe zinajibiwa??

Ha haaa kama ndo upo hivyo usije. Tutaboana bure
So unamaanisha na we pia unakuwa huna cha kunambia? seriously? wa hivyo unamsaidia tu kwa kuongoza conversation then taratibu mtafika, ni udhaifu tu hatupendi kuwa hivyo..hehe
 
So unamaanisha na we pia unakuwa huna cha kunambia? seriously? wa hivyo unamsaidia tu kwa kuongoza conversation then taratibu mtafika, ni udhaifu tu hatupendi kuwa hivyo..hehe
Kila baada ya nusu saa anakutumia pm niambie..sasa nimwambie nini? Yeye si aniambie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…