Nifanyeje jaman?

SURN

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
319
Reaction score
36
Mimi ni kijana niliyekosa MKOPO mwaka huu.but CHUO Nimepata ARDHI(B of arts in economics)TATIZO KUBWA NI FEDHA.naombeni MSAADA WENU nifanyaje ili nipate SPONSOR yeyote atakae nisaidie ili niendelee na masomo.naombeni MAWAZO YENU
 
Una division ngap mkuu?
 
nina division 3 ya 13 EGM
 
Hizo point zako ni za ualimu tu. Mkopo haupat kuna watu wa PCB, pCM, PGM, wamepata below ya kwako wanapwiyanga mtaani. Wah kabla diploma hawajaripoti. Utakuwa mwl mzur sana wa Math.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…