Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.
TIBA YAKE:
chukua mbegu za tikiti maji zikaange halafu zitwange ili zitoe unga, chukua juici ya kitunguu thaumu lita moja na asali lita moja changanya pamoja juisi ya kitunguu thaumu na asali weka na vijiko kumi vikubwa vya unga wa tikiti maji koroga vizuri na uwe unakunya dawa hii kikombe kimoja cha kahawa mara tatu kila siku kwa muda wa wiki moja.
Chanzo: Mzizimkavu
Au tumia hii Dawa itamsaidia mume wako
Ukosefu wa nguvu za kiume [Uhanithi]{IMPOTENCE}
Asali ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi.
Kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji, asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya
dini za kimashariki mwa Dunia. Mwaka jana, watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali ina uwezo
wa kupeleka mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika Africa na dunia ya
kusini, mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza stamina zao
za kufanya mapenzi.
MATUMIZI YA ASALI KAMA DAWA YA KUTIBU NGUVU ZA KIUME.
Pata Asali mbichi ya nyuki, Tangawizi kavu na pilipili Mtama,
Asali kipimo nusu kilo,
Tangawizi kavu Gramu 50 na pilipili Mtama Gramu 50 Twanga pamoja kisha chekecha upate unga wake changanya na
Asali mbichi ya nyuki kula kila siku kijiko kimoja kutwa mara 3 kabla ya kula kitu
Asubuhi,Mchana,na usiku. Muhimu hakikisha mpaka umalize Dawa kutumia ndio waweza kukutana na mke wako kimapenzi basi Nguvu zako za kiume zitarudi na utakuwa na nguvu kwenye mechi yako na mke wako. Ukitaka uwe na nguvu zaidi wasiliana na mimi kwa Private message nitaweza kukusaidia zaidi.
Please give me a Feedback P.h.D. Mzizimkavu