Nifanyeje kabla ya kuoa ?

Hujachelewa, unatakiwa kumwandaa mwanake wa kum-oa, nina uhakika unamchumba, wewe ndio unajua umekuwa nae kwa muda gani? na kwa muda huo umegundua nini kutoka kwake, ingawa kabla ya kuoa mabinti huwa huficha tabia zao mbaya.
experience the behaviour of your partner b4 married, some times unaweza kumuudhi kwa makusudi ili uone anareact vipi? ukizingatia ni rahisi kujua tabia ya mtu pale akiwa na hasira ya kuudhiwa au mkikorofishana au akiwa na uharaka wa jambo fulani.
Mi nimeoa naenjoy full
 
I thought that way, but familia zetu za kibongo hawakuelewi, they keep on insisting/asking when are you going marry

wabongo hapo ndio tunapoharibu sasa hivi vijana wengi wanaoana kwa ajili kuchoswa na hayo maswali ya wewe lini? unakuta mtu anoa kuplease jamii inyomzunguka ingawa hayupo tayari kwa wakati huo, tuache hizi frikra wandugu tuache watu wawe na uhuru wakufanya maamuzi juu ya maisha yao
 

avatar yako is :A S-fire1:
 

Hongera mkuu, currently sina mtu/mtarajiwa ni more than six month now, nashukuru kwa ushauri wako
 
Kutafuta watoto bila kuoa ni kuwapa shida watoto tu
Binafsi naichukia sana khali hiyo!

Hiyo avatar yako vipi? ni mwanao huyo, au wewe ulipokuwa mdogo?
 


OA TU USIOGOPE UTAPATA JIBU.:car:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…