Nifanyeje kabla ya kuoa ?


Nakubariana na wewe, ninaambiwa watu tunao safiri mara kwa mara dio tunaibiwa sana. Ahsante sana
 

Yes, mkuu nadhani we are in the same boat.
 
Siyo wote wenye tabia za ku-cheat hivyo jitahidi kutafuta mtu asiye cheat. na hawa ni wengi tu.

ezan, hope i will get one. But where to get them??
 
Ndio mkuu kwasasa nipo katika harakati za kutafuta, mtarajiwa, but i wanted to know what precautions (if any) i should take before marriage?

Kwani unataka kuoa wapi mkuu....tarime?lol
 
Nakubariana na wewe, ninaambiwa watu tunao safiri mara kwa mara dio tunaibiwa sana. Ahsante sana

Mkuu sio lazima jambo lililotokea kwenye ndoa ya mtu fulani basi hilo hilo litatokea kwako, muhimu ni kumuomba Mungu upate mtu aliye mwaminifu na kujiweka mbele ya Mwenyezi Mungu kwa maombi ambayo yatadumisha mahusiano yenu hicho ndicho kitu cha msingi zaidi kumshirikisha na kumuomba Mungu baraka zake.
 
They will come trust me no need to hurry there are so many out there who are searching for people like you

ASANTE Mkuu, hope it will turn just as nice as enjoyable. I pray to have an enjoyable marriage!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…