Nifanyeje kabla ya kuoa ?

Ingekuwa tarime ungejiandaa kwa mapanga, shoka etc......
Kwingine andaa mahari tu....

Umesahau na banda la kuku lazima huko! teh teh teh....
 
we dnt say the truth bana nani asietaka ndoa?

Hapo ndo kwenye tatizo! ukweli, Yes akinadada wanataka ndoa no matter what it take, aaah! :faint:
 
dis mine is not true love soo it must die.... 4better 4worse...

Oh don't tell that NILHAM
'It hurt the most when you can actually feel your heart breaking... Ask me why I keep on Loving!'
 
ASANTE Mkuu, hope it will turn just as nice as enjoyable. I pray to have an enjoyable marriage!

hilo ndio neno kijana.....hizo fikra za kuoa labda atafanya hivi na vile, cjui ata cheat uziweke kando uupe moyo wako mawazo mema, ni hivi kijana, kama wewe uta cheat jua na mwenzio ana cheat, kama wewe unajijua kabisa ni mwema kwa mwenzio 100% jua na yeye ni mwema hivyo hivyo, mtendwa hutendwa....karibu kwenye game kuna raha na karaha zake, na ndoa ni jinc wew utakavyoitengeneza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…