Hapo ndo kwenye tatizo! ukweli, Yes akinadada wanataka ndoa no matter what it take, aaah! :faint:
Dah!!! Yamekuwa hayo :shock::shock:
hilo ndio neno kijana.....hizo fikra za kuoa labda atafanya hivi na vile, cjui ata cheat uziweke kando uupe moyo wako mawazo mema, ni hivi kijana, kama wewe uta cheat jua na mwenzio ana cheat, kama wewe unajijua kabisa ni mwema kwa mwenzio 100% jua na yeye ni mwema hivyo hivyo, mtendwa hutendwa....karibu kwenye game kuna raha na karaha zake, na ndoa ni jinc wew utakavyoitengeneza.
yalishakuwa zamaaani tena kwani ulikuwa hujui??
Sema mutu ya square one.....
Ohhh...kumbe ulikua watania??🙂
I ain't that good or that bad
true love never die
hilo ndio neno kijana.....hizo fikra za kuoa labda atafanya hivi na vile, cjui ata cheat uziweke kando uupe moyo wako mawazo mema, ni hivi kijana, kama wewe uta cheat jua na mwenzio ana cheat, kama wewe unajijua kabisa ni mwema kwa mwenzio 100% jua na yeye ni mwema hivyo hivyo, mtendwa hutendwa....karibu kwenye game kuna raha na karaha zake, na ndoa ni jinc wew utakavyoitengeneza.
true love never die
Aisee mwili wako ushatoka kwa fundi?....
kumbe huyu ndo kakuwekea bango?
Habari za kupotea Nyamayao mzima wewe
Nashukuru dada yangu, nikumbuke kwenye maombi yako[/QUOTE]
ntakuweka kwenye maombi yangu swity.....ina raha yake kwa kweli...vingine ni vijimambo vya mpito tu kwenye maisha.
Aisee mwili wako ushatoka kwa fundi?....
mzima swity wangu ni mihangaiko tu....naona vijana mnapata wazimu mkifikiria ndoa, mkiingia humu mkipata visa/mikasa ya ndoa mnakata tamaa, ya humu/mnayockia mitaani yacwaingie ki vile, ndoa hazifanani kabisa, ni kumuomba Mungu akupe alie mwema, oweni kabisa mckatishwe tamaa, ndoa ina utamu wake jamani.
God help me to get one of those! pray for me Pearl