Nifanyeje kuhusu haya matokeo

Nifanyeje kuhusu haya matokeo

fukunyuku

Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
69
Reaction score
23
Matokeo ya form 6 yametoka nimepata DV 3.17 mchipuo wa HGK, naweza kusoma degree ya nini??
kama haiwezekani nisome diploma ya nini??? Naombeni Msaada wenu maana nimechanganyikiwa ndugu zangu
 
Hilo bichwa la habar na yaliyomo n quiet different
 
Mkuu mwaka huu kuna Div 3-17 kweli? Maana hizi big results.
 
Matokeo ya form 6 yametoka nimepata DV 3.17 mchipuo wa HGK, naweza kusoma degree ya nini??
kama haiwezekani nisome diploma ya nini??? Naombeni Msaada wenu maana nimechanganyikiwa ndugu zangu

HGK unapata 17? Hiyo si div 4..hukuwa sirias weww!!
 
Matokeo ya form 6 yametoka nimepata DV 3.17 mchipuo wa HGK, naweza kusoma degree ya nini??
kama haiwezekani nisome diploma ya nini??? Naombeni Msaada wenu maana nimechanganyikiwa ndugu zangu

Tuliza akili kwanza, kwani we haujui ulikuwa unataka kusoma nn chuo? Form 6 kweli.
 
Matokeo ya form 6 yametoka nimepata DV 3.17 mchipuo wa HGK, naweza kusoma degree ya nini??
kama haiwezekani nisome diploma ya nini??? Naombeni Msaada wenu maana nimechanganyikiwa ndugu zangu

Hebu eleza vizuri. Hiyo ni DV 3.17 ni kitu gani? Eleza scores zako halisi yaani A, B, C, D,.... kwa kila somo halafu nitakupa ninachokifahamu.
 
Duh kwa brn vjui mfumo ukoje. Kwangu hapo itabd ufuatilie diploma nadhani
 
Chuo utapata kulingana na matokeo yako ingia tcu cas anza kuafta vyuo. Acha kuwa na wasiwasi
zoezi la kutafuta vyuo usilifanyie pupa tafakari, tazama guidebook kila chuo kinajieleza
kozi na sifa za kujiunga, usiwe mvivu wa kupekua pekua hayo mambo.
 
Back
Top Bottom