Nifanyeje kumenteini mapenzi yangu?

Kufunga ndoa baada ya kumshirikisha Muumba wenu, then muamue kuishi pamoja; kazi waweza pata nyingine lkn mpenzi si rahisi!

Hebu ninong'oneze KAUNGA Ulipokuwa kwenye pick ya juu kama hii kwenye mapenzi ulikuwa unajisikiaje?
 
Hiki kisimu changu kinajifanya kinajua ninachotaka kuandika! LOL

Mambo yako yakoje?

lol! sasa nimekuelewa πŸ™‚ maana hata mie hayo yamenikuta....mie niko poa kabisa nawe ukoje?
 
Hebu ninong'oneze KAUNGA Ulipokuwa kwenye pick ya juu kama hii kwenye mapenzi ulikuwa unajisikiaje?

Bado niko kwenye pick, ila Eiyer ananizingua kishenzi; naona yeye kadrop sana tu!

Iliyobaki ni kumtengenezea limbwata tu! LOL
 
Last edited by a moderator:

lol! sasa nimekuelewa πŸ™‚ maana hata mie hayo yamenikuta....mie niko poa kabisa nawe ukoje?

Niko fine, a little tired n bored at the same time!
 
leo nakuwa mtizamaji hapa.

Naona wewe na Kaunga mmeshamwaga busara za kutosha, kama ni sikio la kuambiwa amesikia.

...Acha nasaha zako bana Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Kitendo cha kutaka kuweka mazingira ya kumantain kinaweza kuwa hatarishi ama faida kwa penzi lenu... Kwa mtazamo wangu naona it is better wapenzi wakienda na flow na si kutumia nguvu, huku mkizingatia kusomana tabia na ku compromise katika mahusiano when ever necessary. Bila kusahau kuzingatia uwazi dhidi yenu kwa kuelekezana nini mwapenda/kutopenda na nini kila mmoja anataraji toka kwa mwenzie...
 
Jitahidi ili muweze kuondoa umbali uliopo kati yenu...Long distance relationship huwa inaleta majaribu mengi sana katika mapenzi na hatimaye uhusiano kuvunjika.



Kweli kabisa,mimi ni mhanga wa hii kitu.
 
Last edited by a moderator:

Pole sana.... bado unapata shida kupata usingizi? au kazi zimekuwa nyingi?

Asante, things r not moving at a pace ninayoitaka. Thank God shida ya usingizi imepungua sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…