Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Wewe mbona umechanjwa na hadi leo uko hai? Huoni alama kwenye bega lako la kulia??Binafsi mtoto wangu siwezi kuruhusu apigwe chanjo labda niwe nimekufa
Yah! Naiona alama katika bega la kulia 'wanaiita chanjo ya ndui' (alama ya mtanzania) siwalaumu wazee wangu hawakujua lolote kwa kipindi kile.Wewe mbona umechanjwa na hadi leo uko hai? Huoni alama kwenye bega lako la kulia??
Yah! Naiona alama katika bega la kulia 'wanaiita chanjo ya ndui' (alama ya mtanzania) siwalaumu wazee wangu hawakujua lolote kwa kipindi kile.
Ila mimi kama baba, sitaruhusu hizi chanjo za kijinga kwa mtoto wangu labda niwe marehemu
eti ee google chanzo na jinsi zinahusishwa na magonjwa yanayotokea mbeleni ujue nini unashabikia ...usikalili mzungu anajua anafanya nini na kabla hajafanya kitu lzm akulazimishe ukipende ndo afanye.....we unadhani hepatitis imeanza juzi ee kwann leo hii tumefikia mpk kutaka chanjo wkt ugonjwa wa zmn why kipindi hiki tu,think kwa akili zako mwenyewe sio kusaidiwa kufikiriaKachunguze birth rate na death rate ilikuwaje ili ufute ujinga wako .
Kuna mengi yamejificha katika chanjo nadhan ndio maana mleta mada anaiogopa.
Wazungu wana mipango mingi ambayo waweza dhani ni misaada kwetu kumbe lengo ni kutuangamiza... magonjwa mengi yameenezwa kwa njia ya chanjo kwa makusudi maalumu bila sisi kujua...
Pia chanjo inatumika kama njia ya kupunguza idadi ya watu duniani lakini hilo limejificha katika kutatua matatizo ya magonjwa.
Hivi hatujiulizi kwa nini huwa baada ya kipindi flani tunaambia dawa flani haina uwezo tena wa kutibu ugonjwa flani na tunaambiwa kwamba nyingine ambayo ni mpya inauwezo wa kutibu... Je utafiti kuhusu hizo dawa ambazo hazina uwezo tena wa kutibu hufanyika wapi? Umewahi sikia utafiti kuhusu dawa flani inayotumika na baada ya hapo ikajulikana kwamba haina uwezo tena wa kutibu na ikawa sababu ya kubadilisha aina ya dawa itumikayo au ni swala la kibiashara lenye lengo la kuongeza faida za kiuchumi katika makampuni ya madawa duniani?
Mkuu kama unahisi chanjo ziko tofauti na za ulaya, panda ndege ukamchanje mtoto za huko ULAYA ila kumtesa mtoto kwa imani yako si vyema mana IMANI hubadilika il madhara atakayopata hayatabadilika, ningeona wa maana ungesema tuongeze research tutengeneze chanjo zetu wenyewe na si kuaminisha watu mambo mengineeti ee google chanzo na jinsi zinahusishwa na magonjwa yanayotokea mbeleni ujue nini unashabikia ...usikalili mzungu anajua anafanya nini na kabla hajafanya kitu lzm akulazimishe ukipende ndo afanye.....we unadhani hepatitis imeanza juzi ee kwan leo hii tumefikia mpk kutaka chanjo wkt ugonjwa why kipindi hiki tu,think kwa akili zako mwenyewe sio kusaidiwa kufikiria
Hiyo article itakuwa ni conspiracy theory wala haitakuwa na ushahidi wowote wa kisayansi bali itakuwa ni bla blaa tu!Kuna article nikipata wasaa nitaileta hapa inaitwa "why you shouldn't vaccinate your kids"
We unaijua? Do not underestimate the power of unknownHiyo article itakuwa ni conspiracy theory wala haitakuwa na ushahidi wowote wa kisayansi bali itakuwa ni bla blaa tu!
mbona watanzania wanaongea vitu wasivyo vijua.......unafahamu kuwa vijidudu vina badilika tabia na uwezo wa kushambulia mwili?.....moja ya sababu kubwa ya inayowa badilisha ni matumizi mabaya ya dawa...hisusan kutotimia dozi as prescribed........for more information nenda ka google *how bacteria/viruses develop resistance to drugs...Kuna mengi yamejificha katika chanjo nadhan ndio maana mleta mada anaiogopa.