Nifanyeje kumwepusha mwanangu kupatiwa Chanjo?

Tusihamishie mada kwenye aids....kila mtu aamini vile anavyoamini. We hunijui usitake niamini unachokiamini
Hutakiwi kuamini kuhusu AIDS bali unatakiwa ujue AIDS ipo au haipo kupitia udhibitisho wa kisayansi!
 
Hutakiwi kuamini kuhusu AIDS bali unatakiwa ujue AIDS ipo au haipo kupitia udhibitisho wa kisayansi!
Can science prove everything? Hahha! Science itself fails to tell the genuine origin of a man.
na kuna vtu vingi vmefichwa kwa mlango wa science.
 
Can science prove everything? Hahha! Science itself fails to tell the genuine origin of a man.
na kuna vtu vingi vmefichwa kwa mlango wa science.
Science can't prove everything but at least we must proud of what we have up to now!!!......Jaribu kufikiri juu ya simu/computer uliyotumia kuniandikia ujumbe huu,jaribu kufikiri juu ya magari,pikipiki,baiskeli,ndege,meli,radar,rocket,madawa ya kututibu e.t.c yote haya ni mazao ya science!!.....Kama siyo sayansi leo hii tungekuwa wapi?tungekuwa mgeni wa nani???
 
Dawa ni dawa mbona madawa ya asili kama aloe vera na mlonge huwezi kuta zimeacha kutibu kwa sababu ya vijidudu kubadilika tabia na uwezo wa kushambulia mwili...
hayo madawa yamefanywa utafiti lin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…