Nifanyeje Kuongeza hamu ya kula?

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,315
Wakuu,nina mtoto wa mdogo wangu mvivu kula na anacheza sana hata chakula tunampelekea achezako.Hana hamu kula nifanyeje?
 
ana umri gani,kama ana zaidi ya mwaka umewahi kum-deworm (kumpa dawa ya minyoo), mtafutie appetine, atakuwa anatafuta chakula yeye mwenyewe. Ni vitamine supplements ambazo zitamuongezea hamu ya chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…