kelvin complex
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 607
- 584
Wasalaam Waungwana,
Naomba kupata msaada wa jinsi ya kupata control number mpya kwaajili ya kulipia leseni ya biashara, baada ya control number ya awali kuisha muda wa matumizi kutokana na tatizo la mtandao na system nzima ya tausiportal kutokuwa userfriendly.
Nimejaribu kubofya link ya help centre yao lakini haiko active. Asante