Nifanyeje Kupunguza Gharama za Milango?

Mbao moja ya mkongo kwa dar es laam 2'/8'/9'' ni kati ya 120,000-95,000.
Kwa mlango wa single haupungui mbao nne, na double haupungui mbao saba.
-garama za matengenezo na vifaa
-garama za finishing
-garama za fundi nk.
 
kama una jamaa kati ya tabora, goweko na mpanda jaribu kumcheki maana kwa maeneo hayo milango ya mninga/mkongo/mkurungu inapatikana kwa bei rahisi sana na taratibu za usafiri unatumia trc ambao bei yao ni ndogo sana.
Chukua huu ushauri mzuri sana hayo maeneo mlango mzuri mbao mbao nzuri unapata kwa 180 kuhusu usafiri wanajua wao wanajua wachie
 
Kama huna fedha za kununulia lango kama Hilo milioni Moja na nusu na mingine ya ndani milioni milioni basi wahi chap chap kwenye used doors toka majumba ya Masaki
Inbox nikuambie wapi (commission lazima)
 
Mbao za kawaida mmh ila Kwa choon ungewek milango ya aluminium naona ni mizur sana Kwa milango ya kawaida ukiweka bafun ama choon Kwa mda flan inapuputika sehem za chin zilizopita maji mda mrefu na kuoza
Choo kikiwa kidogo ndio mlango wa Mbao haufai ila kwa vyoo ambavyo vina SPACE vikubwa mithili ya chumba Mlango ni MBAO tu.

Choo kidogo ambacho ukioga shower maji yaukuta Mlango hamna mbadala wa Alumium na Alcoboard.
 
Nyumba ni milango, kazana.
 
Ukiweka hiyo security door hautakiwi kabisa kuongezea mlango wa mbao?
Hauhitajiki,
Huyo kaleta mbwembwe nenda kwa mafundi welding hata hapo mtaani kwako.
Watakuundia hiyo milango fresh tu watakutajia vitu vya kununua masheet ya chuma,frem za chuma square pipes unaenda gerezani kariakoo unanunua (kama upo dsm) kama mikoani kwenye mahardware watakuwa wanauza.
ma sheet milango yameshatengenezwa yanaurembo unachagua urembo unaotaka
unanunua kitasa unachotaka .
Hao mafundi wa welding watakuja kukutengenezeq huo mlango hapohapo nyumbani kwako .
Mimi ninaunda huo mlango kwa ajili ya apartment ya kupangisha niliyoimalizia nimeambatisha picha chini
Gharama za material laki 380,000 ufundi pamoja na kuufitisha 200,00.
 

Attachments

  • 20250511_163915.jpg
    613.3 KB · Views: 53
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…