😹😹😹 Kwendraaa engineer utakuwa wewe??Kwenda huko kenge weee. Wee ujenzi utaulia wapi story zako kila leo ngono tuu. Tua he sie ma engineer wazee wa concrete, slap, footing. Gypsum, plumbing vyote vipo kicheani yaani ata .umeo akitaka jenga ghorofa niite nisimamie alafu nikui amishe ndani ya boma nikulambishe kibamiaz 😜
Milango ya vyimbani tumia flush doors mmoja hauzidi 70k, kwa vyooni tumia aluminium doors.Katika Maeneo yananipasua Kichwa eneo la Finishing ya nyumba ni Milango.
Yani kuna wakati natamani kuweka hata mabati, ilimradi Mlango
Naomba Wazoefu eneo hili mnisaidie Huwa mnafanyaje mkifika eneo la KUWEKA milango nyumba.
Gharama za mlango Mmoja Wa Mbao ya Mkongo inafika hadi 1m na zaidi.
Nyumba yenye Milango 6 maana yake inatoka sio chini ya 6m.
Hapo Hujaenda GETINI kuandaa GETI...
Upande Wa GETI huwa sipati shida kwani najiandaaga kwa Kununua MABATI,Square Pipe,vinatulia kusubiri Muda napata hela kisha naita Fundi Geti linapatikana.
Kwenye MILANGO naombeni mnisaidie mawazo mliyotumia
Binafsi nawaza kukusanya mbao kama mbao kisha baadae nije tengeneza Mlango, Hii imekaaje kuhusu Ubora na Gharama ndugu zangu,kuna kitu ntaokoa au ni yale yale?
Kuna milango ya Chuma Naombeni msiiiweke katika OPTIONS naombeni mnisaidie kuokoa gharama kwenye Milango ya Mbao tu.
Kama Kuna Fundi Pia au Muuza Mbao naomba ajitokeze, Msaada wenu tafadhali.
View attachment 3330414
Acha kukariri maisha mshangazi mwenye tako na titi lake.😹😹😹 Kwendraaa engineer utakuwa wewe??
Pandeni miti ya mbao Mashambani mwenu kuzunguka shamba au kiwanja mti mmoja tu unaweza kutoa milango yote hata 6 na mti wa pili kutoa fenicha zote kwa watoto wako shida za muafrica ni zakujitakia wazazi wetu walishindwa kutumia akili na sisi pia hivyo hivyo kila mtoto unaye m zaa panda miti ya mbao 4 wakija kukua na kufikisha miaka 16 hadi 20 watakuwa awana shida ya furnitureKatika Maeneo yananipasua Kichwa eneo la Finishing ya nyumba ni Milango.
Yani kuna wakati natamani kuweka hata mabati, ilimradi Mlango
Naomba Wazoefu eneo hili mnisaidie Huwa mnafanyaje mkifika eneo la KUWEKA milango nyumba.
Gharama za mlango Mmoja Wa Mbao ya Mkongo inafika hadi 1m na zaidi.
Nyumba yenye Milango 6 maana yake inatoka sio chini ya 6m.
Hapo Hujaenda GETINI kuandaa GETI...
Upande Wa GETI huwa sipati shida kwani najiandaaga kwa Kununua MABATI,Square Pipe,vinatulia kusubiri Muda napata hela kisha naita Fundi Geti linapatikana.
Kwenye MILANGO naombeni mnisaidie mawazo mliyotumia
Binafsi nawaza kukusanya mbao kama mbao kisha baadae nije tengeneza Mlango, Hii imekaaje kuhusu Ubora na Gharama ndugu zangu,kuna kitu ntaokoa au ni yale yale?
Kuna milango ya Chuma Naombeni msiiiweke katika OPTIONS naombeni mnisaidie kuokoa gharama kwenye Milango ya Mbao tu.
Kama Kuna Fundi Pia au Muuza Mbao naomba ajitokeze, Msaada wenu tafadhali.
View attachment 3330414
Kwahyo ukinunua kiwanja leo unapanda miti baada ya mwezi unavuna? rudisha akili sehemu yake.Pandeni miti ya mbao Mashambani mwenu kuzunguka shamba au kiwanja mti mmoja tu unaweza kutoa milango yote hata 6 na mti wa pili kutoa fenicha zote kwa watoto wako shida za muafrica ni zakujitakia wazazi wetu walishindwa kutumia akili na sisi pia hivyo hivyo kila mtoto unaye m zaa panda miti ya mbao 4 wakija kukua na kufikisha miaka 16 hadi 20 watakuwa awana shida ya furniture
We mpuuzi umesoma na kuelewa nilicho andika ?soma tenaKwahyo ukinunua kiwanja leo unapanda miti baada ya mwezi unavuna? rudisha akili sehemu yake.
solution yako ni kwa ajili ya watoto wetuPandeni miti ya mbao Mashambani mwenu kuzunguka shamba au kiwanja mti mmoja tu unaweza kutoa milango yote hata 6 na mti wa pili kutoa fenicha zote kwa watoto wako shida za muafrica ni zakujitakia wazazi wetu walishindwa kutumia akili na sisi pia hivyo hivyo kila mtoto unaye m zaa panda miti ya mbao 4 wakija kukua na kufikisha miaka 16 hadi 20 watakuwa awana shida ya furniture
milango ya chuma au Bati Mkuu? hivi unajua hii milango ya batiKiongozi, kuna jamaa mwenye kiwanda cha milango ya chuma morogoro mjini. Ni imara na muonekano wake huwezi kutofautisha na mbao. Inafinishing ya kimataifa nafikiri bei yake inakuwa rafiki kidogo.
Nitakupatia namba yake uwasiliane naye au unaweza kumtembelea kwenye showroom yake moro mjini
flush doors ndo zipoje tena, Chooni Aluminum ni sawa kama hii projectMilango ya vyimbani tumia flush doors mmoja hauzidi 70k, kwa vyooni tumia aluminium doors.
Vv
Najua sana ulicho ongea ...na mimi nilikuwa naongea hivyo ni kosa la wazazi kudharau mambo kama hayo huku wanalia umasikini miti mi4 tu inatosha kutengeneza furniture za familia yote kuanzia vitanda ya kisasa makabati makochi nk kila mtoto akawa na kitanda chake cha king standard 7 kwa 7solution yako ni kwa ajili ya watoto wetu
hapa nilipo mimi nilitakiwa nivune miti waliyopanda wazazi wangu
hawakupanda mti wowote ndio mana nipo hapa kuomba msaada
wazo lako ni zuri tutalifanyia kazi "nikiwemo" kwani lina mantiki..
Maana mti mpaka uuvune mbao sio chini ya miaka 15+ kweli hii ni kuwafanyia watoto tu.
Hapo kwenye mbususu engineer labda, ila huko kwingine kwendraaaa..!! 😹Acha kukariri maisha mshangazi mwenye tako na titi lake.
Mie ni mbususu engineer...i engineer women's sexual satisfaction. Plz do not hesitate to contact me for sexual pleasure engineered to perfection😜
Bora umesema, ina piga kelele mno.Inapiga kelele sipend japo ni mizur Kwa uimara ila kelele zake ukiingia unasikika ukitoka ivoivo
Kitendo Cha kuweka ufunguo uufungue kelele zake Sasa bado hujaufungua uingie ndan yaan kwenye nyumba za kupanga Kila mtu anajua fulan kaingia au katokaBora umesema, ina piga kelele mno.
Inaboa hatarii, LolKitendo Cha kuweka ufunguo uufungue kelele zake Sasa bado hujaufungua uingie ndan yaan kwenye nyumba za kupanga Kila mtu anajua fulan kaingia au katoka
Nenda sinza mori ile njia ya kwenda mabatini.. moja kwa moja mbele kulia kuna vitu used kibao mbao milango madirisha makubwa ya maofisini yamejaaa kibao.. mbao za kila aina mninga, mvule n.k bei cheiOption ya Pili ni nzuri shida ni pakupata hiyo milango ya zamani ya mninga
achukue huu ushaurikama una jamaa kati ya tabora, goweko na mpanda jaribu kumcheki maana kwa maeneo hayo milango ya mninga/mkongo/mkurungu inapatikana kwa bei rahisi sana na taratibu za usafiri unatumia trc ambao bei yao ni ndogo sana.
milango ya chuma au Bati Mkuu? hivi unajua hii milango ya bati
sio rafiki na haidumu kama mbao? Muhimu mkuu ni uimara pia.
Mbao mambo ya kizamani ndugu tumewaachie wa bushi uhitajiUkiweka hiyo security door hautakiwi kabisa kuongezea mlango wa mbao?