Nifanyeje kupunguza hamu ya ngono?

Ni mwezi umepita natamani kila siku nifanye tendo la ndoa nimemaliza mtaa wote nikiwa na happy Najua labda itaisha lakini matokeo co

Acha bangi zinakupeleka kufanya vitu vya ajabu.
 
Tatizo lako una jini mahaba nipigie simu nitakusaidia
 
Nashangaa ni kipi kinanisaidia kutongoza najikuta dem kakubali
 
Ni mwezi umepita natamani kila siku nifanye tendo la ndoa nimemaliza mtaa wote nikiwa na happy Najua labda itaisha lakini matokeo co
Tafuta wakwako mmoja wa kugonga kila siku.acha kutangatanga utapata magonjwa.Wapo wanaopenda kugongwa kila siku.
 
Nikishashikwa na ham najikuta ghafla nimetongoza nimezama nye
 
Napenda tu digidigi miaka 18
 
Mbona ngono tamu tuuu.... We endelea tuu kula raha mwanawane tia tia hao wadada..... Maisha yenyewe mafupi haya
 
Labda mapangaboi, lakini sio mapepo. mbona nipo vizuri na nafanyakazi kama wengine, tatizo ni kwamba naamini Kuna baadhi ya wanaume kama mimi tuna hormone nyingi ambazo huchochea wingi wa matamanio miilini mwetu.
Unaposema homoni nyingi ni kujitafutia uhalali au kujiridhisha kwa kile unachofanya wewe upo sawa tu kama wengine ila ulianza kama sifa na baadae imekuja kuwa kama ugonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…