Nifanyeje kupunguza hamu ya ngono?

Kumbuka kazi zipo na mapenzi ni sehemu ya maisha
 
Unaposema homoni nyingi ni kujitafutia uhalali au kujiridhisha kwa kile unachofanya wewe upo sawa tu kama wengine ila ulianza kama sifa na baadae imekuja kuwa kama ugonjwa
Hata kama nimetoka kufanya sahv lakini nikimuona demu bomba akinivutia tu dushe linasimama kama halijatoka kupiga mzigo, na nikienda nae kama kawaida 3,4 kama mwanzo, nisemeje hapo
 
Mi nilikuwa hivo mkuu ikabidhi nitoe tigo nikawa siamshi kila wakati
 
Toa tako uwe shoga utaishiwa hamu ya kutia kila siku kila mwanamke umuonae
 
Au ulikula nyama ya faru john,maisha yalivyo magumu hiv unawaza ngono
 
Ni mwezi umepita natamani kila siku nifanye tendo la ndoa nimemaliza mtaa wote nikiwa na happy Najua labda itaisha lakini matokeo co
Utaendelea kuwa maskini milele wewe hadi kizazi chako chote
 
Ni mwezi umepita natamani kila siku nifanye tendo la ndoa nimemaliza mtaa wote nikiwa na happy Najua labda itaisha lakini matokeo co
Anza kupigwa nao tu genye zote zitakuisha!
 
Funga na swali swala tano. Hku kuna yesu na Muhammad amani ziwe juu yao; ama huko kwingine utaongeza tatizo maana watakukatikia na utajikta unamaliza kigango chote cha gwajima.
 
Upunguze hamu ya ngono ili iweje Mkuu? Jitahidi tu ili uweze kujicontrol au unataka kurudi hapa na uzi wa dushe halisimami au sina hamu na ngono!? Nauliza tu Mkuu.

Ni mwezi umepita natamani kila siku nifanye tendo la ndoa nimemaliza mtaa wote nikiwa na happy Najua labda itaisha lakini matokeo co
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…