Nifanyeje kupunguza unene wa uume wangu ili mwenza wangu asiumie wakati wa tendo?

Nifanyeje kupunguza unene wa uume wangu ili mwenza wangu asiumie wakati wa tendo?

Poleni na majukumu wanajamvi, msaada wenu wa taalamu.

Nifanyeje nimridhishe mchumba wangu wakati wa tendo? Maana analalamika uume wangu mnene sana, namuumiza. Msaada, nitumie mbinu gani ili asiumie?

Nasubiri majibu.
Imeandikwa,tushukuru kwa kila jambo.Kuna wenzako wana vibamia.
 
Back
Top Bottom