Kachukue kiapo Kwa mwanasheria au mahakamani yaani Deed poll peleka shule ni kwake watabadilisha.Mimi ilimtokea mwanangu walibadilisha.Wakuu mtoto majina yake yalikosewa sana kuandikwa kwa usahihi wakati wa usajili darasa la saba, jina Lake na jina la Baba. Hivyo alianza kidato cha kwanza kwa majina hayo hayo licha ya kupambana katika level ya shule kuyaandika sawa lakini mkuu aligoma.
Sasa anaingia kidato cha pili, level ambayo atafanya mtihani na atasajiliwa tena. Naomba mawazo yenu tufanyeje ili tufanikiwe yaandikwe kwa usahihi. Yani niwasikiane na NECTA ama nani ili yawe sawa,maana itasumbua huko mbele ya safari.
NB: msaada wenu uambatane na mawasiliano ya sehemu husika.Ahsanteni
CC: Adolf Mkenda - Waziri wa elimu.
Asante sn kaka kwa maelekezo .Naweza process mkoa mwingine and then nikaenda nacho kiapo aliko mtoto?Kachukue kiapo Kwa mwanasheria au mahakamani yaani Deed poll peleka shule ni kwake watabadilisha.Mimi ilimtokea mwanangu walibadilisha.
Mkuu umeshapewa mwanga jiongeze basi japo umpunguzie mzigo wa kukujibu.Asante sn kaka kwa maelekezo .Naweza process mkoa mwingine and then nikaenda nacho kiapo aliko mtoto?
Eeh mzee muhimu mahakamaAsante sn kaka kwa maelekezo .Naweza process mkoa mwingine and then nikaenda nacho kiapo aliko mtoto?
Ajibiwe mpaka aelewe vizuri.Mkuu umeshapewa mwanga jiongeze basi japo umpunguzie mzigo wa kukujibu.
💩Ajibiwe mpaka aelewe vizuri.
Kwani jamaa akimjibu tena wewe unaumia nini??
Roho mbaya tu.
Supu ya kokoto atakua ni trafki huyu ana roho mbaya kishenzi.Asante kaka
Pole mkuu. Nlikuwa nachangamsha hapa kwa melo naona kuna muda kunapoa sanaSupu ya kokoto atakua ni trafki huyu ana roho mbaya kishenzi.
Deed poll ina process ndefu huwezi kuishia kiapo mahakamani ama kwa mwanasheria tu lazima ufike taasisi zingine kama ardhi, RITA na kwingineko.Kachukue kiapo Kwa mwanasheria au mahakamani yaani Deed poll peleka shule ni kwake watabadilisha.Mimi ilimtokea mwanangu walibadilisha.
Mfano jina kwenye cheti cha kuzaliwa ni Adam halafu kwenye NIDA Adamu hapo unaweza kuchukua tu affidavit kuonesha hayo yote ni majina yako kwa maana yana maana ya jina moja.Kachukue kiapo Kwa mwanasheria au mahakamani yaani Deed poll peleka shule ni kwake watabadilisha.Mimi ilimtokea mwanangu walibadilisha.
Ilikuwa mwaka gani?Kachukue kiapo Kwa mwanasheria au mahakamani yaani Deed poll peleka shule ni kwake watabadilisha.Mimi ilimtokea mwanangu walibadilisha.