Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 925
nashuku sanaSasa ndugu, kwanza jenga mahusiano mazuri na hao wahandisi hapo kazini kwako. Wapo kwenye nafasi murua ya kukusaidia na kukulekeza. Lakini zaidi ya kurudia mtihani wa form 4, ufanye wa form 6 then ukasomee digirii ya civil engineering; alternative ni kuonana na watu wa Veta. Kuna course zao ambazo ukisoma zinakupa equivalent qualification ya kuingia chuo kikuu.
Angalizo: jipange kiuchumi ukiweza ufanye kazi wakati unasoma ili usitegemee wengine sana. Kila la kheri
thank you!show me the way brotherWelcome on board.
safi sana kwa mawazo mazuri mkuu....................rudi shule.
nashukuru kwa ushaurikama kweli ndoto yako ni hiyo tafuta hizo kozi ulizoshauriwa ili zikuwezeshe kufikia malengo yako...kila la kheri ndg
thank you!ukikaa na kibaka na wewwe utakuwa kibaka. Endelea kukaa na hao wahandisi automaticaly utajikuta umekuwa kama wao
kaka kwa jinsi ninavyo ipenda fani hiyo nitafia mezani ninaitaji kuwa mwenye kuelewa si mradi jina engineersio ujiandae tu kiuchumi....! pia kwa kusoma..! SHULE YAKE SIO MCHEZO...!
wadau mimi ninaelimu ya form four na nilifanyikiwa kupata elimu ya chuo katika fani ya karani wa fedha(basic certificate of accountancy)
nilisoma kozi hiyo kutoka na mazingira tu niliyokuwepo lakini haiipo damuni ingawa nimekua niikiifanyia kazi katka moja ya campany ya ujenzi,ndoto yangu hasa toka zamani ni kuwa civil engineer,nifanyeje?
Naomba ushauri kwani matokeo yangu ya form four hayakua mazuri sana
nina C ya mathematics na D kama tatu na ma-F ya kumwaga
thax mkuuJaribu kurudia mitiani yako englsh,physics na chemistry ukifaulu englsh na physics itakusahdia utaweza kupata admision ya kujoin DIT kupitia course yao wanaita pre-ods<ordinary diploma> ukifaulu ihi course utaanza kusomea civil yako level ya diploma for 3yr na baada ya dploma unawepga dgree wapo fresh muhmu ujiweze katika hesabu ilo ndio zao lao kuu.ol the best
Uwezo wako kimasomo ni mdogo sana.Katika hali ya uduni wa elimu wa sasa na bado perfomance yako ndio hiyo,hata kama utarudia na kufaulu,bado huko mbele utapata shida sana.Engineering sio admin,economics au accountacy.Usinie makuu kuliko uwezo wako,jifit mahali panapo kufaa.Nakushauri ujiendeleze zaidi katika fani hiyo hiyo ya uhasibu hata kufikia ngazi ya CPA.Najua umekunwa na umahiri wao hapo kazini kwenu.
mkuu nashukuru kwa mawazoUwezo wako kimasomo ni mdogo sana.Katika hali ya uduni wa elimu wa sasa na bado perfomance yako ndio hiyo,hata kama utarudia na kufaulu,bado huko mbele utapata shida sana.Engineering sio admin,economics au accountacy.Usinie makuu kuliko uwezo wako,jifit mahali panapo kufaa.Nakushauri ujiendeleze zaidi katika fani hiyo hiyo ya uhasibu hata kufikia ngazi ya CPA.Najua umekunwa na umahiri wao hapo kazini kwenu.
mkuu nashukuru kwa kukubali kukaa mbele yangu kupambana kwa ajili yangu!Mhandisi mtarajiwa,usimsikilize huyu!usibembeleze negative thoughts! Kwanza upate motivation kwa wasioamini unaweza. Kazi kwako,utuambie graduu,I personally nitakutumia zawadi.
Tikerra,unataka kutuambia CPA ni rahisi kuliko civil eng? Huu ni upotoshaji wa makusudi!
Tikerra,unataka kutuambia CPA ni rahisi kuliko civil eng? Huu ni upotoshaji wa makusudi!