Nifanyeje kuzuia msingi wa nyumba yangu usiingie maji?

Nifanyeje kuzuia msingi wa nyumba yangu usiingie maji?

Nyumba ni msingi bro, kama msingi unavuja basi ipo hatari kubwa ya usalama kwenye hiyo nyumba. Usipokuwa makini unaweza kuiletea shida familia yako inayoishi hapo.

Tafuta fundi mzuri atakuambia way forward
 
1.unaweza raja Asili ya aina udongo kwenye eneo lako, na rangi yake

2.Je,hilo eneo latuwamisha maji ?
3.Kuna chanzo chochote cha maji karibu na eneo lako mf. Kisima
4.Je,Nyumba za jirani ,kuna yoyote iliyo onesha dalili ya kutitia.
5.Je,eneo hilo ni njia ya maji kipindi cha mvua.
6.Mvua ikinyesha maji huckua mda gani kukauka...

Tafadhali jibu hayo maswali....?
 
1.udongo ni tifutifu alafu ni mweusi.
2.ndio maji yamatuama
3.amna chanzo cha maji
4.ndio nyumba zipo zilizo titia
5.ndio ni njia ya maji ya mvua
6.yani ikinyesha mvua kubwa alafu ikakata . Na jua likawaka kali inachukua siku nne hadi tano kukauka kabisa
 
Kw majib haya hili eneo lako ili ujenge vizur unatakiw uwe na Mfuko WA kutosha na pia Fundi awe mzur na sio haw wakin Fundi maiko
 
1.udongo ni tifutifu alafu ni mweusi.
2.ndio maji yamatuama
3.amna chanzo cha maji
4.ndio nyumba zipo zilizo titia
5.ndio ni njia ya maji ya mvua
6.yani ikinyesha mvua kubwa alafu ikakata . Na jua likawaka kali inachukua siku nne hadi tano kukauka kabisa
A.
Hapo ina ashiria mambo matatu.
1.Waterbed/Mwamba wa kuzuia maji upo karibu na surface.
2.Hilo eneo lipo chini ya altitude ya mita 1 kutoka usawa wa bahari.
3.Eneo lina chumvi

B.
Hapo kuna shida tatu za kujiandaa nazo.
1.Unyevu kupanda kwenye jengo na Chumvi kuathiri jengo lako.
2.Jengo kutitia.
3.Mashimo ya maji taka kujaa maji.
 
1.udongo ni tifutifu alafu ni mweusi.
2.ndio maji yamatuama
3.amna chanzo cha maji
4.ndio nyumba zipo zilizo titia
5.ndio ni njia ya maji ya mvua
6.yani ikinyesha mvua kubwa alafu ikakata . Na jua likawaka kali inachukua siku nne hadi tano kukauka kabisa
Njia ya kwanza ya Ufumbuzi ambayo ni nyepesi na inatatua hizo changamoto kwa wepesi.
-Hapo ni kujaza kifusi cha mfinyanzi Cheney urefu wa takribani mita 1.5 kwenda juu na kukishindilia vizuri.
-Kisha kuanza ujenzi.
-Hii njia ni gharama sana
-Inatumika kwenye Ujenzi wa Mradi mikubwa.
 
1.udongo ni tifutifu alafu ni mweusi.
2.ndio maji yamatuama
3.amna chanzo cha maji
4.ndio nyumba zipo zilizo titia
5.ndio ni njia ya maji ya mvua
6.yani ikinyesha mvua kubwa alafu ikakata . Na jua likawaka kali inachukua siku nne hadi tano kukauka kabisa
Kuhusu Maji kwenye Msingi...
1.Chimba katika kipindi ambacho hakuna mvua kwa mda mrefu.
-Kuanzia mwezi wa 5 hadi 8.
-Angalau maji yanakuwa machache.
2.Uwe na Pump ya kutoa maji siku ya kuweka msingi.
-hayo maeneo always huwa na maji.
3.Kozi tatu za tofari zinatosha.
4.Tumia simenti yenye kuandikwa 42.5R
-Hiyo R ni Rapid,yaan ina wahi kuganda kuliko yenye alama N

Kuhusu kutitia.
1. Base ya Msingi(kozi ya kwanza ya msingi) ina takiwa iwe pana,

2.Tofali lilaze kwa upande wa mapana yake,ili base iwe na upana wa sentimita 45.
-Najua tofali zitaingia nyingi ila ndiyo namna nzuri ya kudhibiti jengo kusema.

-mf.Anayevaa skuna kwenye mchanga wa bahari miguu itatia kuliko mtembea Peru
Yaan kwenye udongo laini base yafaa kuwa kubwa ili kupunguza pressure kwenye udongo.

Kuhusu Chumvi
Soma Makala zangu nilizoongelea chumvi na unyevu.
 
Wapigie watu wa Nabaki Afrika wana liquid flani hivi unapaka kwenye msingi ikikauka inakuwa kama plastic inasaidia kuzuia maji yasipande kwenye msingi. Ila kwa tatizo lako inabidi ujenge kipindi cha kiangazi.

Namba hii hapa: +255 742 506 714
 
Back
Top Bottom